Ufumbuzi wa kisasa kwa mahitaji ya shughuli zako na mawasiliano ya biashara kiganjani mwako.
Anza SasaTengeneza kadi nzuri za kisasa za kidijitali kwa ajili ya sherehe yoyote.
Kila mgeni anapata QR Code ya kipekee kwa ajili ya uhakiki mlangoni.
Fuatilia mahudhurio ya wageni kwa wakati halisi kupitia dashboard.
Tuma mialiko moja kwa moja kwenda kwenye WhatsApp za wageni.
Tumia jina la biashara yako kuwafikia wateja wako kwa haraka.